howard
Senior Member
- Feb 21, 2011
- 188
- 30
Mwaka 1995, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akimnadi Benjamin William Mkapa (mtu mzima wakati huo) dhidi ya waliojiita vijana aliasa akasema, Mkiwachagua hawa vijana watakuja kuwapeni taabu sana baadaye.Nyerere aliwajua vizuri kumbe na cha moto tunakiona kwa kweli