A abm8 Member Joined Nov 22, 2014 Posts 19 Reaction score 2 Feb 14, 2015 #1 viongozi wasio na stara bungeni,mitaani na hata ktk mitandao wanataka kutuletea katiba ya namna gani?, bila shaka yenye maslahi ya wachache tu hasa wenye nyadhfa, rais hatashitakiwa kwa makosa ya jinai kamavile kulawiti!!!, huu si niupumbavu!!!!
viongozi wasio na stara bungeni,mitaani na hata ktk mitandao wanataka kutuletea katiba ya namna gani?, bila shaka yenye maslahi ya wachache tu hasa wenye nyadhfa, rais hatashitakiwa kwa makosa ya jinai kamavile kulawiti!!!, huu si niupumbavu!!!!