Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Baada ya mbunge kuwasilisha hoja yake,Spika,naibu au Mwenyekiti huwa wanajiridhisha na hoja hiyo kwa vifungu vya sheria,na hapo huamua kama kuna msingi wa kisheria basi huwahoji wabunge lakini ikiwa vinginevyo basi huiondoa hoja hiyo bila kuwahoji wabunge!
Tuliona hoja ya Zitto ambayo ilikuwa na msingi wa kisheria,lakini kwa kutumia ubabe hakuwahoji wabunge na aliifutilia mbali jambo lilozua tafrani!
Suala la Makonda likaja,na wakati hoja inatolewa alikuwa anaongoza Chenge na akaona msingi wa hoja kisheria,hakutumia ubabe akaamua wabunge waamue na wote wakasema ndioooooo!
Sasa najiuliza,imekuwaje CCM hawakuliona hili?Kwanini hawakumuweka Tulia kama kawaida yao?