Ilikuwa sahihi Dr. Slaa kuachana na CHADEMA, ujio wa friends of Lowassa uliizika vita ya ufisadi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
 
vepeeeee leo ulienda mahakamani kumuwekea bondi dogojanja? au umeingia mitini?
 
Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.
Hahah..mwenyezi mungu alimuonyesha njia mapema..
 
Mshauri aje ccm chama kisichokumbatia mafusadi.....
 
Sijui leo hii Dr Slaa angeuweka wapi uso wake, hasa ambavyo angelazimika kumtetea Manji!!Msigwa na Mnyika hatuwasikii kabisa lakini Katibu Mkuu asingeweza kujificha.

Ah we nawe kwani katika mafisadi waliokamatwa mpaka sasa kuna mwanachama yoyote wa chadema? Huyu manji si diwani wa ccm
 
Hivi ni lini ccm wamejitenga na mafisadi?au mmeshatuona watanzania wajinga,
Yote yanayofanyika ni miradi ya ccm na hakuna hata kada mmoja wa CHADEMA aliyehusika na ufisadi,sasa huo ujasiri mnaupata wapi chama cha makinikia?
 
Etii??Unamjua yule kada asiyevaa magwanda?
 
Mbona ccm hawamfikishi mahakamani?au ccm nayo imehusika?

Sent from my itel it1701 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…