Wakuu najua wengi wetu kama siyo wote tulio kwenye ndoa tulishawahi kucheza ugenini, vipi ilkuaje ukaacha? 2007. Kuna binti nilimpenda sana lakini nilivyo mweleza hisia zangu alinikataa katakata, mwaka 2009 nikampata mwingine nikaoa.
Daada ya miaka minne kwa maana ya 2013 mwezi wa tatu hivi akaanza kunitafuta na baada ya mawasiliano akaniambia nimsamehe kwa kunikataa kwani hakujua kama nilimpenda kweli.
Basi wakulungwa baada ya miezi miwili nikapangwa kuingia eden,lahaula! niliyoyakuta huko bustanini ni shida ni kama tunda lilikua limeoza kwani lilitoa haruf flani hivi, kwa kuwa nilikuwa nimefika bafuni sikuwa na budi kujimwagia maji haraka haraka na kuondoka
Tokea hapo sikuwahi kuwa na wazo la kucheza ugenini
Karibuni