Onesmo Nchimbi
Member
- Apr 18, 2017
- 34
- 22
Ndugu zangu wana JF naomba mnisaidie ili nifanikishe malengo yangu:
Nina kiasi cha fedha kama million 4.5 sasa nahitaji nianzishe biashara yoyote ile itakayonipa faida sasa je
1: mambo gani napaswa kuyafahamu na kuyafanya kabla ya kuanzisha hiyo biashara?
2: kwa hali ya kiuchumi ya sasa ni biashara gani itanilipa zaidi kwa hapa dar au hata nje ya hapa dar?
3: vipi wastani wa gharama za kupanga flame kwa ajili ya kufanyia hiyo biashara?
4: vipi kuhusu ulinzi na usalama wa hiyo biashara kwa eneo nitakalofungua?