E Euna New Member Joined Feb 24, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Mar 7, 2018 #1 Samahanini wanajf nimepanda mbegu za mstafeli lakini mpaka sasa bado hazioti na hii ni kama wiki ya pili sasa. Sijujua nimekosea wapi naomba kwa anayejua anieleweshe
Samahanini wanajf nimepanda mbegu za mstafeli lakini mpaka sasa bado hazioti na hii ni kama wiki ya pili sasa. Sijujua nimekosea wapi naomba kwa anayejua anieleweshe
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,375 Reaction score 2,193 Mar 7, 2018 #2 kwani huwa zinaota baada ya nda gani?