Ili kuboresha masomo ya Sayansi serikali ifanye hivi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
1. Masomo ya sayansi yasiwe option kwa Olevel na mtu akipata F moja ya somo la sayansi apewe penati .

2. Wanafunzi wote wa Alevel wasome hesabu hata kama ni HGL . Kwa wanafunzi wa arts utumike mfumo wa BAM kama wanafunzi wa PCB wanavyo fanya sasa.

3. Walimu wote wa grade A na Diploma wasome masomo yote kusiwe na specialization na masomo ya sayansi yawe na uzito zaidi.

Pia kozi zote za education chuo kikuu ziwe na hesabu na sayansi na uzito wake utokane na kozi anayo soma.mwanafunzi.

4. Serikali iongeze muda wa kusoma kwa walimu wa grade A na diploma badala ya kusoma miaka 2 wasome miaka 3 lakini baada ya kufanya kazi miaka 3 wapewe nafasi zaidi za kujiendeleza.

5. Katiba ibadilishwe ili wabunge wote wawe na elimu kuanzia Form IV na awe amefaulu kuanzia DIV 4 na kuendelea.

Asanteni
 
No. 5,wawe na degree kuanzia, huwezi mweka mtunga sheria "kilaza"(form IV Div 4)
 
No history without sacrifices, 2020 mbunge kuanzia Degree, italeta mabadiliko sana mana kwa sasa watanzania 90%, wabunge 99% wanasikiliza ili kujibu na sio kusikiliza ili kuelewa
 
No history without sacrifices, 2020 mbunge kuanzia Degree, italeta mabadiliko sana mana kwa sasa watanzania 90%, wabunge 99% wanasikiliza ili kujibu na sio kusikiliza ili kuelewa
hili nalo ni neno, tutajenga misingi mizuri ya kuthamini elimu
 
Back
Top Bottom