Kwa katiba hii ambayo rais hashitakiwi akiwa madarakani au akiwa ametoka, usitegemee kuwa na taasisi imara. Mahakama ni baadhi ya muhumili uliodhoofishwa na madaraka ya rais yaliyo juu ya katiba. Kwa Sasa muhimili wa serekali unatekeleza wajibu wake kulingana na utashi wa rais aliye madarakani. Idara yoyote ya serekali inahisi ni udhaifu kutii amri ya mahakama. Hivyo serekeli inatekeleza amri ya mahakama kwa jinsi inavyotaka.