Ile siku sitoisahau kamwe

Ile siku sitoisahau kamwe

msukule mzembe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2022
Posts
295
Reaction score
371
Kichwa cha habari chahusika vizuri tu.

Kuna siku niliamua kutafuta demu fb. nikapata pisi moja kaleeeee. si nikaitongoza ikakubali. akanipa no zake za whatsapp tukatoka messenger tuka ruka hadi tsap. Tukaanza kuchat mara aniombe hela ila kwa kua hela ninazo nikawa nampa tuuuuu. nikimpigia voice na video call hapokei anasema hatak hayo mambo mpaka tukutane live. Nikipanga siku analeta udhuru

Nikajisemea huyu demu anazingua na tunapoelekea naweza hata kukosa tunda kimasihara. nikamcheki kwa namba nyingine nikampigia simu akapokea ile kupokea nikashangaa ni kidume nikamwambia mimi ndo dafriana alivyosikia hivyo akani block kila kona alafu akazima simu.

Hakika niliumia sana maana amekula hela zangu kiwizi kumbe dume. toka siku hiyo nikawa simuamini mtu yoyote mitandaoni

SWALI: kwanini wanaume mitandaoni wanajifanya wanawake kwa kutumia picha za kike na majina ya kike. shida ni nini

nawasilisha kwenu wakuuuu vp mawazo yenu
 
Uliliwa kimasihara mzee
 
Mkuu wanaume wengi wanatamani sana jinsia yao ibadilike iwe ke hata ukifuatlia pcha nyingi za kwenye mitandao za nusu uchi au uchi ni wanaume wanapost watumia id ya kike na dp wanaweka pcha ya kike. lakini huwezi kukuta mwanamke anajifanya mwanaume kwenye mitandao.
 
wanzingua sana kaka hao
 
Msukule ni huwa mzembe always...

Acha uzembe
 
Kwakua pesa unazo, sioni sababu ya ww kuendelea kufuga hayo maumivu ya kupigwa hela
 
Wala siwalaumu, ni harakati za kusaka pesa tu.
Washamba na wajinga huwa hawaishi na ni mtaji tosha kama una mipango thabiti.

Kuna vidume wanaishi kwa njia hiyo, wanazoa pesa za wapenda uchi wazembe kama mleta uzi.
Picha huwa wanadownload mtandaoni tu, wanamchagua binti wa kiafrika yeyote wa uko kwenye mapicha ya kungonoka wanazitumia kukukula pesa wewe mzembe.

Kongole kwao na pole kwako.
 
Back
Top Bottom