Zanzibar ipi ..Ni kweli Zanzibar hakuna kabisa mbu
Niliwahi kusikia eti Zanzibar hakuna kabisa mbu wala Malaria. Sasa sijui kama ni kweli au ni chai tu.
Kisiasa Zanzibar hakuna mbu Wala malaria lakini kiuhalisia mbu wapo sana hata Leo ukienda znz utawaona asiyewaona Ni mstaafu mtarajiwa na genge lakeNi kweli Zanzibar hakuna kabisa mbu
Hicho kiwanda kinachotengeneza viuatirifu kinaitwa Tanzania Biotech Products Ltd (TBPL) na kipo chini ya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC). Wanasema wanatengeneza viuadudu vya Griselesf na Bactivec ambavyo wanadai ndio viuatirifu na dawa pekee ya kukomesha na kuangamiza mfumo wa kuzaliana kwa mbu wanaoeneza ugonjwa wa malaria...
Malaria yalirudi zanzibar hapa kati, huko nyuma walitokomeza, ila sasa yametokomea tenaNiliwahi kusikia eti Zanzibar hakuna kabisa mbu wala Malaria. Sasa sijui kama ni kweli au ni chai tu.
Wamefanyaje?????Mbu tuwaache tu na wenyewe wafurahi. Wamenyqnywsika sana.