Ile operesheni tokomeza mbu Tanzania imeishia wapi? Kiwanda kilizinduliwa na Mh. Pinda pale Pwani

Nadhani jamaa wanaendelea vizuri sana, wiki kadhaa zilizopita nilisikia moja ya makala yao kwenye radio fulani wakizungumzia moja ya viuadudu ambayo haina chemical materials ambazo wanadai huua na kumaliza kabisa mazalia ya mbu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
kuna kipindi lilitolewa agizo kwa halmashauri zote kwenda kununua dawa za mbu lakini utekelezaji sijui umeishia wapi lakini na wao wanatakiwa wajiongeze watangaze bidhaa zao na kuwaelewesha wananchi wapi zinapatikana
 
Mambo Mengine Ni Ya Hovyo Sana, Nakumbuka Halmashauri Zililazimishwa Kununua Hizo Dawa Ila Mrejesho Ndiyo Hakuna
 
Aiseee
kuna kipindi lilitolewa agizo kwa halmashauri zote kwenda kununua dawa za mbu lakini utekelezaji sijui umeishia wapi lakini na wao wanatakiwa wajiongeze watangaze bidhaa zao na kuwaelewesha wananchi wapi zinapatikana
 
Natamani hilo lifanyike
Nadhani jamaa wanaendelea vizuri sana, wiki kadhaa zilizopita nilisikia moja ya makala yao kwenye radio fulani wakizungumzia moja ya viuadudu ambayo haina chemical materials ambazo wanadai huua na kumaliza kabisa mazalia ya mbu.

Let's meet at the top, cheers
 
Aiseee
Zipo tayari mkuu Katika makala hiyo walikuwa wanafanya campaign kuhamasisha wananchi kununua dawa hizo, ila nadhani hawana strategies nzuri za Kufanya masoko.

Let's meet at the top, cheers
 
Ile opereshen tokomeza mbu Tz imeishia wapi kiwanda kilzinduliwa na pinda pale pwani

Mheshimiwa pinda nakumbuka alizindua kiwanda cha kutengeneza viuatilifu vya mbu mkoani pwani nakumbuka...
Nchi hii inaongozwa kwa hisia na matamko ya jukwaani, hakuna sheria wala mifumo imara yenye kusimamia malengo na dira ya nchi yetu. Kilimo Kwanza movement ilianzishwa kwa ajili ya kuuza matreka na power tiller za wakubwa fulani na sasa husikii mtu akitamka tena hilo neno, waliokuwepo wamestaafu na Kilimo Kwanza yao. Hivyo hivyo kwa kiwanda cha viutilifu cha Kibaha, hakuna mwendelezo wa maadhimio na sera, kila awamu na mambo yake. Hii ndio Tz.
 
Zipo tayari mkuu Katika makala hiyo walikuwa wanafanya campaign kuhamasisha wananchi kununua dawa hizo, ila nadhani hawana strategies nzuri za Kufanya masoko.

Let's meet at the top, cheers 🍻
hizo dawa zinapatijkana wapi ?maana kwa kweli suala la mbu lina kera sana haya madawa ya kuchoma yanayotumika kwa wingi sasa ipo siku yatakuwa tatizo jingine la kitaifa
 
hizo dawa zinapatijkana wapi ?maana kwa kweli suala la mbu lina kera sana haya madawa ya kuchoma yanayotumika kwa wingi sasa ipo siku yatakuwa tatizo jingine la kitaifa

Nadhani ukipata mawasiliano ya wahusika hasa pale kiwandani Kibaha,Pwani watakuwa na taarifa zote.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Hiyo kampeni sijui kama bado inaendelea.

Na kile kiwanda kwakweli sijui kama kinafanya kazi maana hata wafanyakazi wake wamesimamishwa mda sana.
 
Back
Top Bottom