Kuna ile no huwa inatolewa na jeshi la polisi ili kusaidia kupunguza ajali. Mm nashauri no ile ibadikwe kwenye kila basi la abiria, pia zile speed meter moja iwekwe huku kwa abiria ili dereva akizidisha speed abiria wanaona na kutoa taarifa nadhani hii itasaidia kidogo.