Ile hela tuna kwenye namba hii

Ile hela tuna kwenye namba hii

Jaylee

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
66
Reaction score
96
Wale wa tuma kwenye namba hii sasa wameibuka na nguvu mpya. Mimi napokea kwa wastani message moja kila siku. Huu ni ushahidi kuwa TCRA na Waziri mwenye dhamana wameshindwa kabisa kulidhibiti hili tatizo.

Mimi nashauri kuwa iwapo hatuna uwezo ndani ya nchi yetu basi tuombe msaada kutoka nje watusaidie kutokomeza hi tatizo "once and for all" Tuanze kwa kukiri kuwa tumeshindwa.
 
Msaada wa nje wa Nini,TCRA Sio majini.
Kampuni zote za simu zimeweka kipengele Cha kuripoti namba zote za kitapeli ukiripoti tu mda huo huo wanaiblock Sasa ni kazi kwenu kila mkipata message hizo ziripotini zinafungiwa.
 
Mkuu unataka wakale wap hawana shamba wale ndo Mana wanawalima mabwege
 
Alooooooooo.
hata huko unakotaka tukimbilie kuomba msaada kuna matukio kama hayo au zaidi ya hayo.
kwani zile message za tahadhari za UTAPELI kutoka katika mitandao ya simu huwa hazikufikii.
 
Back
Top Bottom