Hujaelewa!!!30000-25000=5000-2000=3000 gawanya kwa 3=1000 kama kuna buku limebakia hapo basi unalo wewe
Bado ndugu yanguHujaelewa!!!
Jamaa watatu walienda guest.Walipouliza bei ya chumba,waliambiwa ni sh.30000 kwa chumba kimoja.Wakaamua kuchanga kila mmoja sh.10000 wakamkabidhi mmiliki wa guest.Mmiliki wa guest alipofika ndani akagundua bei si 30000 bali ni 25000,akatoa buku tano akampa mhudumu awarudishie wale jamaa.Mhudumu akutaka shida,akatia buku 2 mfukoni na ile elfu tatu akawapa wagawane buku buku.Kwa hiyo kila mmoja akawa amelipa elfu 9 yaani elfu 27 kwa wote watatu.Ukijumlisha na ile elfu 2 aloficha mhudumu ni sh elfu 29.Swali.je shilingi elfu moja imeenda wapi?
Thanx,washawasha,corlpole and the the mdadisi kwa challenge zenu,ni kweli mi mgeni kabisa jamvini na huenda hii quiz isha postiwa kitambo but sijapewa jibu bado,hii quiz ni very simple lakini lugha ngumu kueleweka,i didn't need the transaction equation,niambie tu iko kwa pocket ya nani?simply like that,b blecd mi buddies!
Jamaa watatu walienda guest.Walipouliza bei ya chumba,waliambiwa ni sh.30000 kwa chumba kimoja.Wakaamua kuchanga kila mmoja sh.10000 wakamkabidhi mmiliki wa guest.Mmiliki wa guest alipofika ndani akagundua bei si 30000 bali ni 25000,akatoa buku tano akampa mhudumu awarudishie wale jamaa.Mhudumu akutaka shida,akatia buku 2 mfukoni na ile elfu tatu akawapa wagawane buku buku.Kwa hiyo kila mmoja akawa amelipa elfu 9 yaani elfu 27 kwa wote watatu.Ukijumlisha na ile elfu 2 aloficha mhudumu ni sh elfu 29.Swali.je shilingi elfu moja imeenda wapi?
Hapana hujatutendea haki cc ambao unaona kwamba majibu ye2 c sahihi. Tunakuomba utupe jibu ya swali hiliuko 101% right,tufunge mjadala.