Uwe makini wengine ni kwa nje tu huko lakini moyoni ni wakatili na jeuri hujapata kuona.
Lakini kwa wanawake wa wasukuma sio sana lakini Jichanganye kwa wanawake wa kinyakyusa na wafipa ๐๐๐
jamii hizo zote zinapiga magoti wanawake lakini ni wajeuri kupita kiasi na wengine usiku wanapaa na nyungo (wachawi) wanaua, wanatesa, wanaharibu maisha ya watu innocent.
Halafu wachawi wengi Sijui ni sharti la kichawi huwa wanaua wanaume zao na mtoto yule ambae ako Neema ambao ni tegemeo la wengi.
Buyer beware