Ila ndoa za siku hizi..hahahaha!

Ila ndoa za siku hizi..hahahaha!

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,549
Unaambiwa ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni.
Anyway nisiwachoshe msinichoshe ni hivi....

Leo nimeona niingie Facebook kidogo nione nini kinaendelea huko....la haula ile na log in tu naona picha ya jamaa yangu wa zamani.

Jamaa ameposti facebook picha ya harusi yake aliyoifunga tarehe 20 mwezi Wa 8 mwaka huu 2019.

Ikabidi ni comment " Mashallah! Hongera ndugu yangu Khamis kwa kufunga ndoa.

Ile nimecomment haijapita dakika ananitext inbobo wewe hiyo ndoa imeshavunjika mbona.

Dah nilibaki nimeduwaa tu ikabidi ni delete comment yangu.

Vijana ndoa sio sehemu ya kujaribia kama huwezi na hujadhamiria ni vizuri ukatulia kwanza.

Halafu hizi ndoa za kufungwa eti kisa umemkamata binti yako na jamaa sio nzuri hata kidogo. "Oa kutoka moyoni usioe kutoka kiunoni tu"

"Tumia komoni sensi"
 
Mimi ndiyo maana nasema. Kabla hujaoa kaa na mwanamke hata miaka minne ya uchumba kisha mitatu pika pakua halafu ndiyo ufikirie kuoa.
Ni kinyume na maadili ya kidini na jamikkwa ujumla.

Yaweza kuwa we ndio ukawa shida.
 
Ndoa sikuhizi fashion
Mnaoana mnamwagana kesho...
Mimi nataka bwana alipe mahari niishi nae kwanza na mtarajiwa hata miezi mi3
Halafu ndoa ndio ije nijipimishe kuwa naweza kumhandle Isije tukaja kuoana nikajionea maajabu
 
Nawapa pole sana'' wale wanaoingia kwa ndoa kisaa hasa papuchii ama kuona wenzao wameingia na wao kufata mkumbo' nawapa pole wale wanaoolea mimba' nakuingia huko na kisha kutojua nn kilichowafanya waingie kwenye pinguu' za maisha mwisho wa siku bintii na lake kijana na lake kinachotokea ndoa inasambaratika na kuwaacha watoto katika wakati mguumu''' pasipo malez ya pande zote mbili'' na watoto kutangatannga bila maleziiii''' kijan wakiume na wakike jifunzeni nn maana ya ndoa?, na je mnaingia kwenye ndoa kufanya nn ? baada ya ndoa mtafanya nn hasa ili ndoa yenu idumu? kwa upendo na amani.
 
Ikishindana mahali inarudi au?
 
Umeongea pointi sana mkuu
 
NDOA haijafikisha hata Miezi miwili!
 
Back
Top Bottom