Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.(Anyway nilicheat ndiomaana nimeachwa),. Sa ningefanyaje Mxiiewww
Tofautisha umalaya na ku-upgrade.You didn't cheat.. you upgraded to somebody better😍
Sasa mtu akipata type yake ni malayaWanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
Baada ya kuliwa na wangapi?Sasa mtu akipata type yake ni malaya
Body count is not an issue sometimesBaada ya kuliwa na wangapi?
Usirudie hili kosa.nilicheat ndiomaana nimeachwa
Em nipasie huyo mtalamu afanye asikimbuke kitu,. Tuendelee tulipoishia😭Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
😂😂😂😂😂
Ulitaka ww upigwe tukio Bora umempa yeyeNacheka kama mazuri
Mkuu mbona unapiga kichwani, are you yanga.?Tofautisha umalaya na ku-upgrade.
Ukiwa malaya kila mwanaume mpya ni bora kwako.
Yah sio issue kwa malaya.Body count is not an issue sometimes