Ila JK ni fundi sana wa Siasa

Ila JK ni fundi sana wa Siasa

Police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police police

Ndo kujiimarisha huko?
 
Mzee Anasukuma Kete Kwa Akili Nyingi Mnoo Na Umafia Juu Yake...Anaweka Mazingira Sawa Kwa Riz1
 
Yeye amejikita kwenye kuimarisha CCM

Nimependa mabadiliko ya pale juu baada ya Dr Nchimbi kuelekea kwenye Umakamu wa Rais

Mlale unono 🙏
Hayo yanatija gani kwa CCM na hata kwa Serikali zaidi ya kutumbaza? Tayari akili Sungwi wameshaingia mkenge.
 
Mnachafukwa na chama ambacho nyie sio wanachama wake?

Kaa pembeni fanya mishe zako
 
Yeye amejikita kwenye kuimarisha CCM

Nimependa mabadiliko ya pale juu baada ya Dr Nchimbi kuelekea kwenye Umakamu wa Rais

Mlale unono 🙏
Ama wewe ni mwendawazimu nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa nitakutandika. Mafala wenzio huko huko. Sasa unaongea. Ondoka hapa.
Sasa wewe Babu kikwete ni nani? Ndo Rais wa sasa? Wewe unaona ni sawa kikwete kufanya hayo anayofanya? Lea wajukuu babu
 
Yeye amejikita kwenye kuimarisha CCM

Nimependa mabadiliko ya pale juu baada ya Dr Nchimbi kuelekea kwenye Umakamu wa Rais

Mlale unono 🙏
Yeye amejikita kwenye kuimarisha CCM

Nimependa mabadiliko ya pale juu baada ya Dr Nchimbi kuelekea kwenye Umakamu wa Rais

Mlale unono 🙏
Mkuu ufundi katikati ya raia maiti namnukuu hayati Kenyatta, tofauti yake ni kaburi la udongo na la marumaru ila ndani ni maiti!!!
 
Back
Top Bottom