Ila haka kawimbo katamu jamani

Wengine tupo busy na nyimbo za wahuni sijui wa wapi.
Naskia tu wimbo unaimbwa Nina hamu ya kutoooo.....
Nataka kukutooooo....
dah wasani wa Bongo bhana
 
[emoji847][emoji847]Haka kawimbo japo kuwa na uanaume wang nikikasikiaga mahali basi ntajipa hata kamshangao hili nikasikilize kenyewe japo nnako kweny kasimu na kapc. Nandy ameutendea haki sana binafsi hii inakuwa nyimbo ya pili ya nandy kuikubali baada ya WASIKUDANGANYE big ups sana kwake

By the way mtoa mada edit vizuri apo mwanzo anasema,
"Niko tuli babe kama maji kwa mtungi
Nyonga Puri......."

By the way Much love to you umeua sana mpk umeamua kuiletea thread inaonesha imekukosha[emoji847][emoji847][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…