Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Sawa tumekubali ni wapuuzi, lakini Onyesha kwanza hizo containers zilizopo hapo bandarini dar es salaam ili tuanze kuchangia...!! Unataka utuingize chaka kwa picha ya kiatu kimoja!! Utushike masikio sio...?!