Ikulu Yetu Na Mpangaji Wake.........

Nataka kujua Ray C kapata matibabu wapi?? Maana hiyo ni quick recover kama vipe tupeleke masela wa huku kitaa maana hali n mbaya sana.
Rais msaada huku kwetu kila mzazi analia .

Kigezo kimojawapo cha kupata msaada ni kuwa msanii kama yeye.
 
Hakuna reshuffle ya wakuu wa wilaya hivi karibuni?
 

Labda ametumia mbinu hiyo ya mmoja mmoja ili akitoka hapo aende kuhamasisha wadau wenzake waache, Ray C alitumia mwanya huo ili angalau na yeye akanyage Ikulu
 
Ningekuwa JK ningemwambia Ray C awataje waliomuuzia madawa ili wakamatwe na washitakiwe na sio kutabasamu tu........hivi mateja wengine vipi? Hawana msaada wa ikulu? Manake wako pale ferry hardly 100 metres from his own bedstead!

Akimtaja yeye je????
 

Eee
Mweshimiwa ndugu embu hapo tulipoparembeshea manyotanyota embu paelezee kirefu panatukuna sana tulio wengi..
 
Hakuna reshuffle ya wakuu wa wilaya hivi karibuni?
Jamani huu utani mbona mkubwa sana.. Lakini inawezekana akamerge wilaya Na kumpea bi-kiunonyonga. Atamtanua Na kumpanua zaidi sieti ee..!!
 
Mbona wakati anamsaidia hatukujua tumekuja kusikia matokeo tu? na amemsaidia RC kama nani? alimuomba au? na je ilikuwa lazima kuweka habari hii kwenye mainstream media? na kwa faida ya nani? ina maana RC alichuikua waandishi kwenda kumpiga picha akimshukuru rais au waandishi huwa wapo hapo muda wote?
 

Imetolewa
na :​
Premi Kibanga,​
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,​
Ikulu-DSM​

​
10 Desemba, 2012​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…