Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,466
Kitendo cha E. Lowassa kwenda ikulu kinyemela na kuongea kwa siri na Rais Magu kimeacha taharuki kubwa sana kwa wapinzani hasa CDM.
Je kuonana na raisi ukiwa mpionzani kuna ubaya? Jibu lake ni hapana hakuna ubaya kabisa kwani raisi ni binadamu na kiongozi wa nchi.
Kwa nini kwa Lowassa ni ubaya???????
Lowasa alipeperesha bendera ya chadema/ukawa 2015 ni mjumbe wa kamati kuu chadema - Rais ni mwanasiasa na mwenyekiti wa ccm taifa.
Kwasasa CDM na ukawa wanaagenda nyingi ambazo Rais ndiye kazileta .
Moja kuzuia mikutano ya siasa
Kuzuia bunge live
Kuminya uhuru wa demokrasia
Kukataa kuchunguza tukio la Lissu kupigwa risasi
chama chake kushiriki uporaji wa kura na ugandamizaji kwenye chaguzi za marudio
Serikali kufungulia wanasiasa wa upinzani kesi za kutunga
Ununuzi wa wanachama wa upinzani hasa wabunge na madiwani
Hali mbaya ya uchumi etc
Hizi hoja zote na nyingine nyingi kama kutekwa wapinzani , kupotea wananchi etc
Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu peke yake kwa kutoroka viongozi wenzeka ni USALITI MKUBWA USIOVUMILIKA NA YEYOTE NDANI YA UPINZANI ISIPOKUWA WENYE AGENDA YA KUDHOOFISHA UPINZANI
Lowassa alitakiwa kujua anabeba dhamana kubwa ndani ya upinzani kama kiongozi na mtu ambaye aliaminiwa kuwa anaweza kusimamia misingi na hoja za taasisi.
Kuna mengi yanasemwa kuhusu kwanini alikimbia viongozi wa upinzani na kwenda peke yake ndani ya ikulu huku wakijadili wawili tu yeye na raisi na hivyo kuwa ni watu pekee wenye story yao wenyewe nini walijadili.
Lowassa anaweza kuwa ndiye agent mkubwa wa kununua wabunge wa upinzani na madiwani kurudi ccm kwani wengi wanaonunuliwa ni wale waliokuja na Lowasa.
Nakumbuka kauli ya Steve Wassira kuhusu kuuwa upinzani. Kauli ile inanifanya niamini Lowassa alikuwa ndiye kete ya mwisho kutumika.
Lowassa kuendelea kuwa upinzani au kuaminiwa kwa sasa ni kuzika Chadema ni kuzika upinzani.
Nashauri Lowassa mara moja atolewe ndani ya kamati kuu asiwe tena mjumbe wa kamati asishiriki kikao chochote kile cha viongozi wa CDM au ukawa. Asepewe heshima yeyote ile ndani ya chama kwani hatuwezi na haitaiwezekana tena kuamini msaliti wala kuishi na msaliti.
Hakuna neno wala jinsi ya kumsafisha kwa hili na hakuna mtu anaweza tena kumbeba kwa hili.
Vyovyote vile itakavyokuwa CDM haijawahi kulea msaliti - hakuna mtu mkubwa kuliko chama.
Chochote atakachosema sasa itakuwa ni uongo ili aendelee kuuwa na kutimiza kazi aliyotumwa na maCCM.
Lowassa ahafai aende Ikulu kwa amani.