G GeeM JF-Expert Member Apr 11, 2014 1,897 1,327 Mar 24, 2017 #2 Hao TBC mbona hawakuripot makabidhiano ya ripoti ya Nape. Dr Ryoba nilikuheshimu sana lakini unawadhalilisha mno wanataaluma wenzako
Hao TBC mbona hawakuripot makabidhiano ya ripoti ya Nape. Dr Ryoba nilikuheshimu sana lakini unawadhalilisha mno wanataaluma wenzako
dariro JF-Expert Member Mar 26, 2016 276 287 Mar 24, 2017 Thread starter #3 hata press conference ya jana hawakutoa hata kidogo. magazeti wakawa hawana ujanja
M MTOCHORO JF-Expert Member Dec 18, 2016 5,107 6,532 Mar 24, 2017 #4 Wanachojua wao ni kusema Trump kamsifia Magufuli