Kama kweli Ikulu itamjibu Lema, basi itakuwa ni 'new low' kwa Ikulu.
JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana"
SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA MAELEKEZO NA MAREKEBISHO YA WARAKA WAO,NAAMINI KUFIKIA LEO JIONI WARAKA WA IKULU DHIDI YA LEMA UTAKUWA UMEJIBIWA .
HII INAWEZA KWENDA MBALI ZAIDI NA IKAMLAZIMU SALVA KUFANYA PRESS CONF LEO MCHANA
LEMA JEMBE BANA TOKA JANA MPAKA LEO STORY HAPA KWA MKUU WA KAYA NI LEMA LEMA MPAKA MZEE MMOJA MPISHI MUONGEAJI SANA WAMEMBATIZA JANA ANAITWA LEMA
pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzz''''
Mkuu wa mawasiliano na habari ni mwandishi Salva Rweyemamu,wanaojua kazi ya RWEYEMAMU wakati mtandao ukijiandaa kwenda Ikulu watakumbuka mchango wake mkubwa ulikuwa kusifia kichwa cha nazi na kuchafua wagombea wazalendo kwa kadiri ilivyowezekana.
Kwa ajili hiyo ukiangalia press release zote za Salva hutakosa maneno aina ya majitaka au mipasho au dalili za ukosefu wa mamlaka ya kimaadili.
Mliona utetezi dhidi ya suti tatu,au dhidi ya tuhuma za awali za Lema dhidi ya Ikulu?
mkingoja jibu la msingi kwa Salva mtangoja sana....chambilecho Mkapa!
JK hajijui kama yeye ni chinga, mpiga debe, dreva toyo, rais wa tz, mkulima, mfanyakazi, mfanyabiasha, mbibi, mbabu, mtoto mchanga, mpishi, kichaa, mwanamke, mwanaume, muuza fegi, msanii, mbunge,binadamu, bata, kuku yaani kila kitu. JK hajielewi yeye ni NANI na anatakiwa AFANYE nini ktk nji hii. HAJIELEWI. TOTAL FRUSTRATED. Ndiyo maana IKULU inajiandaa kujitetea kwa Lema.
Kawashika pabaya.