Ikulu, chekini na idara ya hali ya hewa!

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,781
Reaction score
2,079


Schedule za JK za kiswahili swahili hazina planning wala timing, kazuka sehemu kwenye tukio la nje huko Morogoro bila ya watu kucheki na idara ya utabiri wa hali ya hewa! Hizi ndizo planning za viongozi wetu, halafu tunajiuliza kwa nini wanatuingiza chaka kila siku.

 
Hiyo heading yako IKULU kuna nani sijui unaye mpa ushauri maana wote wako likizo tangu2005
 
kama mvua ni baraka kwa nini wameingia mitini?

wangekaa walowe wapate baraka zaidi... hahaha...

kwani wewe ukifa si unaamini kuwa unaenda kwa mola wako..mbona huombi kufa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…