Iko wapi Pestana pub Dodoma?

Iko wapi Pestana pub Dodoma?

ninanina

Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
37
Reaction score
24
Waheshimiwa, nipo mji wa waheshimiwa weekend hii. Niliambiwa kuna pub/club mpya imefunguliwa Dodoma inaitwa Pestana, iko wapi kwa wale mnaijua Dodoma?
 
Sipo dodoma lakini nimepewa taarifa kuna kiwanja kipya maeneo ya kilimani!.. nyuma ya dodoma hotel kama waelekea ntyuka hebu kakithaminishe mjumbe!.
 
Hakuna kitu hapo Mkuu. Don't waste your time. Dom Ni mji wa kishamba sana. Njo uhindini hapa tukamate magoma tukalale....Period
 
Sasa dodoma unaenda kufanya nini si ni bora uje huku kishimundu tunywe mbege na kitimoto. Achana na hilo jiji uchwara lilojaa watu wanaonuka vitunguu na nguo zilizojaa vishona nguo na ndulele
 
Back
Top Bottom