Ikiwa wazungu walifanikiwa kumng'oa Nyerere, kwanini walishindwa kumng'oa Mugabe, Museven et al?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Tangu zamani kumekuwapo shinikizo kutoka Western countries kwa mataifa ya yaliyo na viongozi waliokaa madarakani kwa mda mrefu kuondoka...
Shinikizo hilo lilionekana kuzaa matunda hapa kwetu, nawaza iweje hao wengine waliwashindwa?
 
Nyerere Hawakumtoa, Mzee wa watu aliona muda umefika kukaa pembeni. Pia ideology za kijamaa zilikuwa hazina mashiko tena. Ubepari ulikuwa unaongezeka kwa kasi Africa.
Pia nchi ilikuwa inaanza kuzalisha wasomi wengi, ambao baadae wangekuja kuhoji utendaji wake. Chukulia mfano Arsene Wenger.

Mugabe na Museveni, wazungu hawana interest na nchi zao. Hawawezi kuanzisha vita na nchi wasizo na faida nazo.
 
Acheni utani nyie, wazungu hawana maslahi na zimbabwe!, Wakat ndio waliijenga, na kuifikisha hapo ilipo???
 
Back
Top Bottom