natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Sidhani kama kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu au mkuu unamaanisha hali ya kewa labda. Naamini serikali ina mipango thabiti ya kufanya kila linalowezekana uchaguzi ufanyike.
Sidhani kama kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu au mkuu unamaanisha hali ya hewa labda. Naamini serikali ina mipango thabiti ya kufanya kila linalowezekana uchaguzi ufanyike.
Tutaweka Rais wa muda.
maneno ya hofu.....ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
Umesema kweli bro vibanzi sharubati. Ushindi wa kishindo wa ccm kama HAPATUME YA UCHAGUZI WAKO MAKINI SANA,WANALIJUA HILO,,WATAREKEBISHA MAMBO YOTE,,WANANCHI TUPUNGUZE MUNKALI,,PIA ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
Umesema kweli bro vibanzi sharubati. Ushindi wa kishindo wa ccm kama HAPA