Ikitokea Uchaguzi Ukashindikana Kufanyika...

Ikitokea Uchaguzi Ukashindikana Kufanyika...

natumbaku Chambeho

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
551
Reaction score
209
Wote tunajua kwamba mwezi Oktoba kuna uchaguzi mkuu. Mara kadhaa mambo muhimu kwa nyakati tofauti huwa hushindikana kukamilika na sababu ni kuwa nje ya uwezo.

Sasa ikitokea mwezi Oktoba uchaguzi ushindikane kufanyika kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu, ni taratibu au hatua zipi hufuatwa ikitokae hivyo?

Nawasilisha.
 
Ndo hiyo tume ya uchaguzi iseme ilikuwa inafanya nini miaka yote 5.

Yani toka 2010 hadi 2015 useme sababu zipo nje ya uwezo wetu?
 
Sidhani kama kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu au mkuu unamaanisha hali ya hewa labda. Naamini serikali ina mipango thabiti ya kufanya kila linalowezekana uchaguzi ufanyike.
 
Ikiwa uchaguzi utachelewa maana yake ESCROW ya pili imeanza!
 
Sidhani kama kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu au mkuu unamaanisha hali ya kewa labda. Naamini serikali ina mipango thabiti ya kufanya kila linalowezekana uchaguzi ufanyike.

Mfano bvr zishindwe kuhimili msongamano wa takwimu zinazolishwa. Zoezi la uandikishaji wapiga kura liwe linaendelea mpaka mwakani 2016, hapo vipi? Au daftari la zamani litatumika? Na ikiwa hivyo si itakuwa kama kuruhusu na mieleka kutumika katika pambano la ndondi?
 
Sidhani kama kuna sababu zilizo nje ya uwezo wetu au mkuu unamaanisha hali ya hewa labda. Naamini serikali ina mipango thabiti ya kufanya kila linalowezekana uchaguzi ufanyike.

Zipo sababu za nje ya UWEZO wetu kwa maana ya TUME ya CCM kushindwa kutoa haki ya kujiandikisha kupiga kura.

Na kubwa ya hizi sababu ni KUKOSA UHURU wa kufanya kazi kwa UHURU kwa hii TUME ya CCM ya UCHAGUZI............Malizia mwenyewe.............
 
ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
 
TUME YA UCHAGUZI WAKO MAKINI SANA,WANALIJUA HILO,,WATAREKEBISHA MAMBO YOTE,,WANANCHI TUPUNGUZE MUNKALI,,PIA ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
 
kwa hali itakavyokuwa wale wanaofanya kazi jirani ba Benki ndio watakaokuwa na faida maana kila mtu atajichukulia cha karibu yake
 
TUME YA UCHAGUZI WAKO MAKINI SANA,WANALIJUA HILO,,WATAREKEBISHA MAMBO YOTE,,WANANCHI TUPUNGUZE MUNKALI,,PIA ccm wako makini sana,,hilo haliwezi kutokea kabisa,,,,,uchaguzi utafanyika ,wa huru na wa haki na kama kawaida ccm ni ushindi wa kishindo.
Umesema kweli bro vibanzi sharubati. Ushindi wa kishindo wa ccm kama HAPA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom