Nguli uliiona kwenye concert ya Fally Pupa nini maana kuna mdada huwa anaonekana alivyong'ang'ania kupanda jukwaani hadi nguo ikamchanika.
BTW: Kusema ukweli si kwenye concert tu bali popote mie nafikiri wapenzi tunatakiwa kuwa na staha japo kidogo hata kama mziki unaupenda kiasi gani au mwanamuziki unampenda kiasi gani si vema kufanya vitu ambavyo unajua vitamkwaza mwenzio. Maaana utakuta mwingine ametoka na Mr. kwenda mziki sasa kisa anaupenda basi atanyanyuka kwenda cheza na yeyote mradi kacheza- saa nyingine tunakaribisha vishawishi wenyewe.
ingekuwa mimi- pale alipozimia tu ningemrudisha nyumbani na kama angeng'ang'ania na kupanda jukwaani basi mara atakaposhuka jukwaani angenikuta nimeshatangulia nyumbani.
Mkuu hapa kuna mawili..maana kuna mtu inatokea tu anapenda kumuona mtu fulani kutokana may be umaarufu wake na hii haimaanishi ana hisia za kimapenzi.....we nenda tu siku Brazili wanapotua uone watu watakavyomshadadia Kaka....
Gosh ni kweli usemayo Sio njema kabisa Nguli haileti picha nzuri katika mahusiano ..Ila siku akija Denzel Washington nitaomba muzee anipe chance nikamkumbatie kidogo tu .....sijui mapromota watamleta lini ?
Pole Nguli kama yamekukuta..
Gosh ni kweli usemayo Sio njema kabisa Nguli haileti picha nzuri katika mahusiano ..Ila siku akija Denzel Washington nitaomba muzee anipe chance nikamkumbatie kidogo tu .....sijui mapromota watamleta lini ?
Pole Nguli kama yamekukuta..
Mh! shoga kumbe na wewe ni wale wale!
Mkuu hapa kuna mawili..maana kuna mtu inatokea tu anapenda kumuona mtu fulani kutokana may be umaarufu wake na hii haimaanishi ana hisia za kimapenzi.....we nenda tu siku Brazili wanapotua uone watu watakavyomshadadia Kaka....
Kwa ishu hii, ni kumchukua juu kwa juu na kurudi nyumbani sidhani kama furaha ya mtoko itakuwepo tena hapo.
Nguli na we ukipata chansi ya kum-hug Beyonce itakuaje?
Itakuwa kawaida sana, infact mimi sizimii wanamuziki hata kidogo wala wacheza cinema nna appreciate kazi zao na vipaji vyao. Mimi napenda kuwa karibu na interlectualz kama akina Moyo alieyeandika kitabu kile cha madeni ya afrika akina Mandela tuta discuss kile kitabu chake cha mwendo mrefu kuelekea Uhuru/long walk to freedom. Au mtu kama Kiranga wa JF tuta discuss mambo ya poet kidogo na kuumiza vichwa katika kujibizana.
Tuko pamoja FL1 na mimi ningependa kumhug ila si kwa nia ya mapenzi ila ni kwania ya kuwa fun wake that's allGosh ni kweli usemayo Sio njema kabisa Nguli haileti picha nzuri katika mahusiano ..Ila siku akija Denzel Washington nitaomba muzee anipe chance nikamkumbatie kidogo tu .....sijui mapromota watamleta lini ?
Pole Nguli kama yamekukuta..
umejitihadi ukamtimizia haja yake ya kumpeleka out kwenye concert ya maisha yake kumwona mwanamuziki aliyetamani maisha yake yote kumwona/kuwaona. Mara anatambulishwa mwanamuziki jukwaani zinapigwa fataki pale za kuonyesha star anaingia mara anaanza kulia akimwona tu anazimia mfano mzuri cheki clips za michael jackson. Akizinduka anang'angani kwenda mbele kucheza naye anazuiwa na walinzi anaforce kwa kujigaragaza chini mpaka star/mwanamuziki anasema mwacheni aje akifika pale jukwaani anamkumbatia na kuanza kulia. Hivi uta react vipi katika hali kama hii. Akirudi toka jukwaani utaendelea kutabasamu na kucheza naye tuu??? Ni swali tu tu shee mawazo labda mimi nakuwa mshamba hapa.
Haivutii hata kidogo kuona mpenzio akimuhusudu mtu mwingine tofauti na wewe ambaye anasema ni wake wa maisha............
HAIVUMILIKI HATA KIDOGO....ni KOVU TAYARI.