Ijumaa- Mbuzi Katoliki.

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Jamani Ijumaa ya Leo naona kitu ambacho kitaweza kunipa furaha na kuniondolea haya mastress ya wiki Nzima ni kula huyu Mbuzi wa kikatoliki aka white paper.

Kwa hapa Dar najua Pale Didz Masaki ni mwisho wa maneno.

Hivi kunasehemu nyingine Naweza pata quality nzuri zaidi. Naona kama Didz nimepazoea sana.

Jamni nawatakia Weekend Njema.

Wale wenzangu wa Manu. Tuombe Mungu Cisse afanye mamombo jumapili saa 3:30. Nitakua kwenye screen kubwa pale bilionairs Club.

Huu utakuwa muda wa kusahau issue ya Baraza la mawai... sorry mawaziri.
Please drink responsively. Ama?
 
vivian hii ijumaa itakuwa njema...nimekumiss sana...
vip ile proposal yangu?...aaaah au nimewahi sana kuulizia....NYS
hivi ddz kitimoto si itakua elf 30 kilo moja?
 
Last edited by a moderator:

Njoo kwa rasta ..Regent ursino..kuna Kiti moto kizuri...na jioni karibia..pale..Masters Club...tujipe kampani. vivian
 
Last edited by a moderator:
vivian hii ijumaa itakuwa njema...nimekumiss sana...
vip ile proposal yangu?...aaaah au nimewahi sana kuulizia....NYS
hivi ddz kitimoto si itakua elf 30 kilo moja?
BAGAH Didz kitimoto kilo moja ni 10,000/= halafu kumbe wewe ni bahili? aha? nimekukamata!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi napita_maake hii kitu inaitwa dar naisikia kwa watu tu,.....kwetu kisiju
 
BAGAH Didz kitimoto kilo moja ni 10,000/= halafu kumbe wewe ni bahili? aha? nimekukamata!!!

aaah mama starehe zingine ni adhabu sasa...afu pia ujue kitimoto tamu inapatikana kwenye mazingira ya OVYO OVYO...utafiti nimefanya vivian
 
Last edited by a moderator:
aaah mama starehe zingine ni adhabu sasa...afu pia ujue kitimoto tamu inapatikana kwenye mazingira ya OVYO OVYO...utafiti nimefanya vivian

Kama wapi BAGAH?

sehemu yeyote wanaochoma hiyo nyama ndio wanaweka kwenye mafuta ndo poa.
 
Last edited by a moderator:
kiss juu Ndio wapi huko

Yeah_nyie watu wa dar sio rahisi kukujua huku...natamani kuijua dar_plz da vivian naomba unipe ofa ya kuja huko ili nami nipajue..nijue hata hizo sehemu wanazo uza mbuzi kato....mmmmmmmh.
 
Yeah_nyie watu wa dar sio rahisi kukujua huku...natamani kuijua dar_plz da vivian naomba unipe ofa ya kuja huko ili nami nipajue..nijue hata hizo sehemu wanazo uza mbuzi kato....mmmmmmmh.

unaonekana mdogo sana.
 
Kama wapi BAGAH?

sehemu yeyote wanaochoma hiyo nyama ndio wanaweka kwenye mafuta ndo poa.

hebu njoo hapa kwa MAMA KAMCHE leo jioni....ikichomwa ndo mzuka...sio kutia tena kwenye wese!
 
Last edited by a moderator:
hebu njoo hapa kwa MAMA KAMCHE leo jioni....ikichomwa ndo mzuka...sio kutia tena kwenye wese!

Hivi pale nyuma ya msimbazi centre wameacha...ilikua murua sana.
 
vivian iko regent ursino....karibia na Masters Club

mkuu@The Finest..Regent iko mbali kdg na Masters Club..ila hapo kwa Rast ndio penyewe kwa kitimoto..
..Masters iko maeneo iliko Bilionaire..na regent Ursino..iko njia ya kuingia AAR...karibuni..maana pale mie sebuleni...

. vivian...
 
Last edited by a moderator:
DiDz sio mahala hovyohovyo na white paper yao ni nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…