Ijumaa Kareem

y-n

Mwenyezi mungu huwa hafanyiwi mdhaha hata kidogo, na hili utalijutia wakati roho yako inatoka! kwani mungu akisema kuwa inakuwa na huwa acheweleshi nafsi ya mtu hata sekunde moja.
 
Last edited by a moderator:
we jamaa mbona unaharibu nyuzi za watu? Jumapili kulikua na uzi wetu wakristo mbona waislamu hawakuja kutukana?

Bora umwambie Dada, kuna mijitu mingine inapenda kukashifu imani za watu kwa chuki zilizowajaa
 

Somo la leo ni
KUTOKA PANGONI.

Katika Qur’an iko aya ambayo tunapaswa tuitafakari wote kwa pamoja.Katika Surat An-Nisaa, (wanawake), 4:79 “Wema uliokufikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu na ubaya uliokufikia unatoka nafsini mwako, mwenyewe umefanya mambo hata yakakufika hayo. Nasi tumekupeleka kwa watu kuwa mtume na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha (hapaitajiwi shahidi mwingine)”

Aya hii inaonesha kuwa Muhammad mtume wa Waislamu, alipelekwa kwa watu kuwa mtume, huku Mwenyezi Mungu akiwa shahidi tu. Siku zote shahidi si mtendaji bali ni mwonaji tu wa tendo lililotendeka.Hoja yetu tungependa kuwajua hao watu waliompeleka Muhammad kwa watu ni akina nani?. Kwa sababu tumeona kule nyuma baada ya Muhammad kutoka pangoni, mkewe Bi. Khadija anamwambia Muhammad kuwa “utume huo!!!!!!! Na Bwana Waraqah ibn Naufal akimwambia Muhammad kuwa “ basi jibashirie kuwa wewe ni mtume wa umma huu” kabla ya Qur’an . hao ndio wale “Nasi tumekupeleka” wanaotajwa kwenye aya hiyo hapo juu.
 
Nyinyi wajinga wenye dini za kuletewa na wakoloni mbona mmejitoa ufahamu. Njooni huku kwetu tukatambike, mizimu ya mababu zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…