Kumbuka pia Yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya Friday.....hii siku nuksi nini!!
Why Friday.
1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa Friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya Friday
6. Madeni mengi hayalipwi Friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya Friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya Friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya Friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya Friday, hasa pesa, laptops nk
huko ndio mlipokuwa mnaelekea lakini mmetaka kujificha ficha,hoja nzima ilikuwa inawalenga waislamu siku yao ya kuabudu.Umesahau na kipenzi cha wengi,Suicide Bombing!Leo watu wameua LAHORE Pakistan,baada ya swala
Mwenyezi Mungu S.W.T. atawaozesha wanaume wa Peponi wanawake wengine wazuri sana wanaojulikana kwa jina la Mahurulaeni mbali na wake wao waliokuwa nao hapa duniani. Na maana ya Hurulaeni ni mwanamke kijana mzuri wa kupendeza mweupe sana na mwenye macho meusi. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Dukhaan aya ya 54, "
]كَذَلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ[
huko ndio mlipokuwa mnaelekea lakini mmetaka kujificha ficha,hoja nzima ilikuwa inawalenga waislamu siku yao ya kuabudu.
acheni ubaguzi wa dini na kuingilia mambo yasio wahusu.nchi yetu waislamu kwa wakristo wanapenda kwanini mtu uwalinganishe waislamu wote duniani kutoka na visa vya waarabu na westerns?
Mwenyezi Mungu S.W.T. atawaozesha wanaume wa Peponi wanawake wengine wazuri sana wanaojulikana kwa jina la Mahurulaeni mbali na wake wao waliokuwa nao hapa duniani. Na maana ya Hurulaeni ni mwanamke kijana mzuri wa kupendeza mweupe sana na mwenye macho meusi. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Dukhaan aya ya 54,
]كَذَلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ[
siyo siku ya shetani,shetani hana siku.Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
usisahau pia ibada,swala, mawaidha ya dini kwa waislamu hutolewa fridaykumbuka pia yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya friday.....hii siku nuksi nini!!
Why friday.
1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya friday
6. Madeni mengi hayalipwi friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya friday, hasa pesa, laptops nk