comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jf
Salaam,
Wajuvi wa mambo ya kikemikali changieni katika hili,
VX kemikali iliopo katika mfumo wa majimaji au kimiminika yenye muonekana kama mafuta ya mashine, haina harufu yoyote, yenye rangi ya njano iliyopauka yenye mchanganyiko wa dawa hizi (diisopropylamino) ethyl] methylphosphonothioate fomular yake inasomeka kama C11H26NO2PS
Ilibuniwa na kugunduliwa na wataalaamu wa kemia Ranajit Ghosh La mwenye asili ya India na J.F. Newman mwaka 1952 katika moja ya kiwanda nchini Uingereza kwa lengo la kufanya tafiti zaidi za kimaabara,
Mwaka 1955 ilifanyiwa tafiti zaidi Marekani wakagundua kuwa ni moja ya sumu mbaya sana duniani, mwaka 1961 Marekani waliamua kuitengeneze kwa matumizi ya kimaabara na tafiti mbalimbali katika kiwanda cha Newport Chemical Depot cha Marekani.
Ni sumu inayoshambulia mfumo wa fahamu na huondoa uhai kwa dakika chache sana kipimo cha 10mg zinatosha kushambulia mwili na kuua ndani ya dakika 10-20 kama ikigusana na ngozi,
Inaweza kuingia mwili kwa njia kadhaa kuvuta hewa yake, kuigusa kwa ngozi, ikimwagikia kwenye chakula ni ngumu kuijua
inakadiriwa kuwa ni kipimo cha 30-50mg-min/m3 huondoa uhai wa binadamu kama mtu akivuta hewa yenye dawa hiyo, pia hujulikana kama ni silaha ya maangamizi WMD
kutokana na hatari zake azimio la umoja wa mataifa nambari 687 katika mkutano wake kuhusu silaha za kikemikali ( Chemical Weapons convection) katika maazmio mwaka 1993 ilipiga marufuku utumiaji holela wa VX, lakini maazimio hayo yalibariki itumike kwaajili ya tafiti za kimaabara tu na kipimo kisizidi 10kg kwa mwaka
ukivuta mvuke wake katika hatua za awali mwili hupata dalili kama kubana kwa mfumo wa hewa, misuli kukaza, ina tabia ya kuzuia vimeng”enyo visifanye kazi ,kizunguzungu, kutapika na uono hafifu