My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
That will be full of shit.Baada ya miaka 20 mbele kila developer atakuwa na Crypto sarafu yake.
In short, Cryptos in dalili zote kuwa ni SCAM, some sort of Ponzi scheme.That will be full of shit.
Siku akifa au server zako zikiwa corrupted na pesa zenu zimekwenda
The price of bitcoin is plugging deep in dip[emoji2] sitegemei ikifika 100k $ this yearKama watu walivojuta miaka 5 iliopita ndivo watakavojuta ikifika 2025 maana inasemekana kwa mwaka huu BTC itafika USD100K na Ethe itakuwa USD10K pia tuitafute elimu sana ya hii inshu maana haiepukiki wazee ndo Dunia ijayo hii...
Ushauri wangu ni kununua altcoin iliyo chini na yenye future na ununue za kutosha.Ni kweli kabisa Crypto ni fursa kubwa sana kwa vijana sio lazima umiliki coin nzima ya btc au altcoin yoyote unaweza kudunduliza pole pole
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu wekeza kwenye btc hii inapanda thamani haraka sana kuliko uweke bank fixed upate riba ndogo
Mdogo mdogo tu wataelewa kama ilivyoanza m pesaDuh!!!,Ilitakiwa kabla ya kuingiza sarafu hii, Wananchi wapewe Elimu ya kutosha kwanza.
Kila kitu ni kurisk mkuu.The price of bitcoin is plugging deep in dip[emoji2] sitegemei ikifika 100k $ this year
Still ni bear market
Mkuu inategemea na project inaanzishwa na nani. Hii program inaanzishwa na Remitano. Tayari wana jina zuri kwa miaka mingi. Sidhani kama wataweza kuanzisha kitu kitakachowaharibia jina. Mpaka sasa wanaenda sambamba na ratiba/muongozo (roadmap) na hakuna walichobadilisha. Ili kuwashauri watu wanunue inabidi nitoe darasa la kutosha kwanza kabla mtu hajaweka pesa yake kitu ambacho sitaweza. Kwa hiyo nawashauri kitu ambacho ni bure hivyo hana cha kupoteza hata kama kaingia bila maarifa sahihi.Mkuu mambo ya mining project nyingi huishia njiani.
Bora kushauri mtu kununua kuliko mambo ya mining
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu. Huu ndio ushuhuda tunahitaji kuusikia.Ushauri wangu ni kununua altcoin iliyo chini na yenye future na ununue za kutosha.
2017 nilianza kama utani.
Jamaa yangu niliyemfundisha fx alinilazimisha nijaribu altcoins..nilimpinga mno.
Akasema nunua kidogo tu.
Nilinunua za $200 na ilikuwa 15/11/2017.
Nilishangaa ilipofika December 20/2017 ilipanda hadi $7,000[emoji849][emoji849][emoji849].
Nilifanikiwa kuuza za $2,500
Na ilipofika January ilishuka sana hadi $500
Muda huu ninapoandika inasoma B na point.
Tatizo wateja kwasasa ni wachache.
Najua baadae tutatafutana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kuanzisha coin na ikapata thamani sio jambo rahisi kivile.Baada ya miaka 20 mbele kila developer atakuwa na Crypto sarafu yake.