Ijue orodha ya majenerali wa JWTZ toka liundwe

Kiwelu siyo kiwelo, halafu ni unataka full generals au hata major General na Lt General? kwa uewelewa wangu Full Generals ni

Twalipo
Msuguri hakuwa Full General ila alikuwa Mojar General
Makunda siyo Full General
Mboma sawa
Mabeyo sawa
Mwamunyange sawa
Waitara sawa
Muhidini hapana
Kyaro
Msuguri
Sarakikya.

Baada ya rank hiyo wanafuata Lt General ambao ninawakumbuka ni

Idd gahu
Shimbo
Ryoba
Mwakibolwa
Sayore
Mnadhimu Mkuu wa sasa jina limenitoka
Ndomba
wakati wa jk kulikua na Lt general watatu active Ryoba, Ndomba na mwingine nimemsahau ila wote wamestaafu.
Mojor Generals wako wengi kwakweli nitakutajia wale maarufu
Mayunga
Mwakalindile
Meena
kijuu
kamazima
Luhanga
Lupogo
Luis alikua shombe
Walden shombe
said said Kalembo
Kimario
Isa muho??
Milanzi
james Luhanga
Muhuga
Farah Mohamed
Kevin Msemwa
Mlowezi
Charles Jitenga
Charles Mzanila
Daniel Igoti
Vicent Mritaba
Mwabulanga
Kyunga
Rwegasira
Juma Kapwani.
wanawake nawajua wawili
Grace Mwakipunda
Lilian Kingazi
Zawad sir name nimesahau kidogo.

Nimechoka list lakini bado wapo wengine



wengine walishatangulia
 
Umeropoka kifala
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
 
Mayunga, Mwakalindile na Meella(sio meena) wamestaafu jeshi wakiwa maluteni Jenerali
 
Haina tija, kabla ya hao uliowataja hatukuwa na jeshi? Vyeo vya jeshi hukua kulingana na mahitaji ya wakati uliopo, sasa walioongoza kwa vyeo tofauti na hivyo wao unawaweka wapi? Na watakaoongoza kwa vyeo vyenye majina mkubwa zaidi ya haya ya sasa utawaweka wapi? Kwa kifupi wazo lako hakuna tija.
 
Aliyewatandika wale waliounguza nyumba ya kulala huko nyanda za juu, jina limenitoka.
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"

Pamoja na Sifa zako zote hizi ila sijui ni kwanini wanaliogopa sana Jeshi la Rwanda ( RDF ) Mkuu. Je, unaweza ukawa na majibu kwani unaonekana mambo haya ya Kimedani / Kijeshi Mwenzangu unayajua mno hivyo utakuwa Msaada kwa Sisi Mangumbaru ( tusiojua lolote ) ili basi na Sisi huko mbeleni tuje kuwa kama Wewe. Nitashukuru ukinijibu Mkuu juu ya hili.
 
Umeambiwa Africa wewe wataja USA
 
Mbona viongozi wahandamizi wa polisi wakistaafu awasikikitena kama wenzao wa jwtz, yani uwezi ukamsikia Said mwema na ma IGP wenzake walio mtangulia au ma RPC nikwanini wakistaafu awapewi nyadhifa tena?
 
Mayunga, Waitara Walikuwa Balaa

Ila Mwamunyange Kaacha Historia Kubwa Kiasi Baada Ya Kubadili Jeshi Kuwa La Kisasa"

JWTZ Ndio Jeshi Linaloongoza Afrika Kufanya Operation Hatari Za Chini ( Vita Ya Chini) Kuliko Jeshi Lolote Lile"
Haliwezi kuzidi jeshi la Misri
 
Wanaogopa jeshi la Rwanda! hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah. kweli ushabiki mbaya sana, Rwanda hawezi kupigana na Jeshi la Tanzania hiyo kitu haipo kabisa, uwezo huo hawana kabisaaa, Umeshau M23 kilichotokea? wako wapi? nani alikua anawa support? kwanini walikimbia na waka surrender? siku ukiona Rwanda wanajaribu kuichokza Tanzania ujue ndiyo mwisho wao. Kaguta tu akiamua anawasambalatisha. Nchi amabyo haina umoja ndani ya nchi na maadui kila kona technically wakianzisha vita ujue ndiyo mwisho wao, wengine hatusikilizagi propaganda za nyie wanyarwanda. Tunawajua ndani nje! na weakness zenu zote zinajulikana na kila adui zenu, au unataka nizianike hapa? sema vita haina faida kwa yeyote ni uharibifu. jeshi lenu linatiwa jambajamba na Burundi tu na ndiyo size yenu.

Subiri siku Kaguta akijawachoka mtaona mziki wake huyo anawatosha.
 
Umenifurahisha sana, huyu wa sasa sio mkuu wa majeshi bali ni mkererketwa wa chama cha mapinduzi, yeye akili yake kwa ccm tu ukimuunganisha na yule mwenzake igp siro
Huyo hamjui Afande Mabeyo, anasikiliza stories za vijweni! uliza ujue kwanza katokea wapi ndani ya jeshi. Mabeyo katokea alikotoka General Mwamunyange! jeshi liko makini hiyo mnayosema ni mambo watu wasioyajua. Kwani jeuri ya serikali inatoka wapi? unadhani ni ccm au jeshi? sasa jeshi litaogopaje chama cha siasa? acheni kudanganya watu hapa.njeshi la letu linaheshimu serikali na wananchi shida ya wengi napenda jeshi linalofanya fujo msiombee huo ujinga kabisa, angalieni maslahi mapana ya nchi.
 
Ninasahihisha bandiko langu kuhusu wakuu wa majeshi wastaafu waliokwisha kutangulia mbele za haki, kwa idadi ni wawili. Ni Gen Twalipo na Gen Kiaro, samahani kwa usumbufu, wapumzike kwa amani, amina.
 
Huyo ni Muhidini Ndolanga ama Muhidini yupi!? Kama una CV yakeyake na kwa ruhusa yake Muhidini , tuwekee hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…