Wakenya huwaambii kitu mbele ya Mazda. Ukiwa Nairobi CX5 zimetawala jiji na latest models nyingine. Huwezi kuta gari za miaka ya 80, 90 au 2000 kwa wingi kama bobgo. Labda sababu wana mafundi wazuri na wanaenda shule haswa na siyo kujifunzia uchochoroni.