IGP afunga njia Ubungo-Kimara

yaani mwenzenu nilifahamu huyu IGP amepiga marufuku magari kupitia hii barabara instead ameelekeza watumiaji wa hii barabara watumie alternative road, kumbe naye ameongeza uchuro, poleni sana ngoja niendelee kukaa hapa grocery akishapita nishtueni niaanze safari
 
Upuuzi na ulevi wa madaraka. Si wanazo helicopter kuliko kusababisha mateso juu ya mateso. Au kama hawezi kusota kwenye foleni basi angerudi usiku sio kuwatesa wananchi ambao tayari wanateseka kwa foleni kubwa kutokana na matengenezo ya barabara jijini. The whole city is a construction sight in chaos.
 
Aisee Ni bora mtu anaeishi bunju kuliko kimara...pamoja na umbali wa bunju kero Kama izo hakuna..inahitaji moyo cha chuma kuishi kimara
 

Hapo angetumia helikopta bado mngekuja hapa na kulalama kuwa ni matumizi mabaya ya fedha za maskini walipa kodi. Wabongo bwana!
 
Kaka hyo njia inajifunga yenyewe wala tucmcngzie nimehama uko na kama bado waishi maisha ya mpangsho kule siyo
 
Wet lease ya chopper kwa saa limoja haifiki dola alfu moja. lkn mafuta aliyotumia toka kwao na msafara wake. maana lzm ae na msafara. ni over dola alfu moja. ukiongeza na huu usumbufu kwa watu wengine. lost man hours and fuel for iddling engines ni mabilioni ya pesa. Jeshi la polisi halina mchumi au halijui ku set priorities.
 
Hapo angetumia helikopta bado mngekuja hapa na kulalama kuwa ni matumizi mabaya ya fedha za maskini walipa kodi. Wabongo bwana!
The best option wasafiri usiku. Hii ni pamoja na mawaziri na wakubwa wote dar wawe barabarani alfajiri. Mfano st peter dar asubuhi foleni ni balaa mpaka 'fat cats' wote wapite.
 
hawa viongozi watumie chopa jamani kiuchumi ni bora mafuta yatakyotumika kwa chopa hizo kuliko masaa ya uzalishaji wanayosimamisha kwa kuzuia magari maana hata mda mwingine unakuta mgonjwa anafia njiani kisa foleni imesimama mkubwa anapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…