Wengine huandika "Ignorantia de juris no es excusat" lakini naona huo ni mtazamo wa kihafidhina (conservative) zaidi. The more mainstream approach ni "Ignorantia juris non excusat". Kilatini cha Sheria kigumu kweli kweli!
Sasa
lawyer lawyer, hebu wape watu elimu kuhusu "ex parte" judgement.