V Valsava Senior Member Joined Aug 16, 2015 Posts 171 Reaction score 141 Jul 2, 2016 #1 Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa 3:00 usiku.Je wewe unalifuatilia?,unalionaje?
Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa 3:00 usiku.Je wewe unalifuatilia?,unalionaje?