Ifunda Technical secondary school

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,502
Reaction score
8,690
mtoto wangu amechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwakani lakini nataka kufanya mishe nimuhamishie ifunda tech je bado shule hii ina skills za ufundi zile zile za zamani?

Wenye kufahamu tujulisheni
 
Hapana. Hivi sasa wanasoma zaidi theory pia walimu ni changamoto. Wengi ni wazee
 
Our Motto is Skill and Efficiency ah kitambo sana IFunda TEch
 
Hiyo ni fursa adimu usiipoteze. Kuna madarasa ya ufundi lakini mikondo mingine pia. Shule za bweni kwa kidato cha kwanza ni chache sana, ukijifanya kama unajikuna kumhamisha, fasta wanakupitishia uhamisho alaf nafasi inajazwa haraka. Inaweza isiwe na ubora ule wa asili lakini ni shule nzuri mpeleke
 
Sawa kaka
 
Our Motto is Skill and Efficiency ah kitambo sana IFunda TEch
Motto shule nyingi walibadilisha. Wengi wanatumia Techncal Education for Industry Development.
 
Nchojua uhamisho wa shule ya tech huwa kwa shule ya tech pekee.
Yaahi huwezi kumtoa mtoto kwenye shule ya kawaida ukampeleka kwenye shule ya tech.
Labda kama utaratibu umebadilika.

Jaribu kufuatilia hili kwanza.
 
Kwa form 1 inawezekana. Ila hali ni mbaya maana kuna shule ya Tech saiv wanasoma history.
 
Ndo nilipita pale form one 2005 na sasa nipo na kaufundi kangu na shahada ya uchumi pia.

Hivyo ukapata nafasi pale na mwanao kama anajielewa advance kama yote yake
 
nilitaka kumhamishia mtoto pale mwaka huu nae alikuwa form one,changamoto ikawa ufaulu,kama hana B flat hauwezi kupata nafasi mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…