Kuna sista duu mmoja alikutwa anapiga chabo katika pepa na lecturer alikuwa wa kiume akamfuata na kumuuliza sasa nimekudaka sasa tumalizane au ifike mbele sistaduu kwa pozi la kimahaba akasema wamalizane akijua ataombwa namba ili baadae akagegedwe basi lecturer akasema sawa kisha akarudi nyuma hatua mbili alimkata yule sista duu boooonge moja la konde kama bondia kisha akamwambia tushamalizana unaweza ukaendelea hapo sista duu hoi na pepa akashindwa kuendelea ikabidi aache pepa