Kwenye maisha wote hatuwezi kufanana akili kuna watu hata ukimuuliza leo tarehe ngapi hawezi kukujibu wala siku anishi tu ilimladi kumekucha hata hajui dunia inaendaje na hata hajui kwanini alizaliwa Hata siku ya kupiga kura lazima kuna kura zitaharibika.