Na mimi nimeyapitia hayo majadiliano yenu ya "kirefu" na nkagundua vitu vichache ambavyo havikujadiliwa.
Btw hata kama mada imejadiliwa haimyimi mtu mwingine kujadili kivyake.
Kumbuka unaweza kufungua paypal ac without bank acc kwa kutumia entropay virtue credit card.
virtue credit card hiyo inaweza kutumika ku-verfy paypal a/c.
virtual credit card inakuwezesha wewe kutoa na kupoke pesa kokote duniani.
Kwa sababu wewe ni much know ngoja nikuache kidogo.
:music: