Captainkenya mvita
Member
- Jul 22, 2019
- 5
- 5
Habari zenu wakuu.Natumai nyote muwazima.Mimi ni mgeni hapa,na hii bila shaka itakua ndio thread yangu ya kwanza.
Natumai nyote munafahamu kuhusu maasala ya nyota.Naam,sio nyota za angani bali nyota kama uwezo au nguvu Fulani za kibinadamu.Au mushawahi kusikia mchawi anaifunga nyota ya mtu.Ningependa kuwaambieni,huo wote ni uchali,mchawi ili kui ua nyota yako hucheza na esteem yako.Remember,your esteem is your star.esteem ni hali ya kujiamini na jinsi ujichukuliavyo.Mchawi atahakikisha hujiamini,atakutia hofu ili uwe muoga,na kawaida uoga ni adui wa kila hatua,ukiwa muoga itakuwia vigumu kuchukua hatua muhimu katika maisha yako.