If alcohol could talk

Hapo kwenye Brandy kama kuna kaukweli hiviiπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
acha kabisa mkuu usinikumbushe banana na chibuku kwani jana nilizipiga kweli kwenye nanenane na zipo powa sana siku hizi hata msister du wanazipiga sana.....legeza kidogo baba...
Watu wa mkoa gani wanaojielewa wanakunywa banana mkuu!?..
 
Hapo BEER ndio imeongea point ya ukweli thus why I like to drink beer

Drink beer ,save water
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…