Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program

Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
39
Reaction score
68
Ielewe Milioni Siyo Hela Kubwa Program,....

Na jinsi inavyookoa watu

Hii program ya Milioni Siyo Hela Kubwa inavyofanya kazi,

Mfano ukasema Sina uwezo wa kupata 800,000 Kwa pamoja yaani cash

Ambayo ndiyo mtaji nahitaji kufungua duka,
Kuwekeza au kununua chochote kile....

Sasa ukawa UNAWAZA utafanyaje kuipata??

Ilhali kipato chako ni Cha kuunga unga..

Ndipo nakuja njia ya kusave kidogo kidogo Toka kwenye mishe zako....

Kwa Lugha ya kiuchumi tunaita kujilipa wewe Kwanza...

Hapa ndipo MONEY program ya Milioni Siyo Hela Kubwa Ina fanya kazi

Sijui umepata kitu???

Sasa basi jukumu langu Mwakawasila ni kujua huyu Salome/John anataka kufikia Lengo Gani Kifedha ??

Nitakupa mbinu tutakazo zitumia kufanikisha Lengo lako,

Mimi nakaa kukuadabisha pale unapoenda kinyume na mkataba,..

Njia rahisi za kufanikisha Lengo lako,

Hadi ukamilishe lengo lako

Usalama wa pesa zako je???

Mimi ni mkufunzi wa kusaidia watu kuwekeza sehemu salama eneo la SOKO NA MITAJI

Kama HISA HATIFUNGANI na Mifuko ya pamoja,

Kwa hiyo utajiunga kwenye soko la HISA na pesa utakayopata utanunua HISA au kuwekeza UTTAMIS na sehemu ambazo najua itakuwa salama

Nitahitaji tu uthibitisho wa manunuzi

Ni watu wengi wamenufaika na hii program imeanza mwaka Jana mwezi wa 11/2024

Nafasi zimejaa ukitaka kujiunga njoo inbox na 13,000 badala ya 15000

Program inaanza Leo Tarehe 12/06/2025

Ni ndani ya miezi 6

Milioni Siyo Hela Kubwa

Mwakawasila
Financial Consultant
0744980339
 
Ungepeleka huu uzi facebook ungekuwa na likes kibao.
 
Back
Top Bottom