juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana ,anaongea kama Adamu mchomvu na hata zile joks zake ni kama za Mchomvu tu.kiukweli hajui hata kutangaza kabisa,na ndio maana tunasema choice fm imepoteza mvuto,sio ile ya kina Tandy,Vannesa,Chriss,yaani redio imekuwa ya hovyo na hata watangazaji nao wamekuwa ni wa hovyo