Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Juzi alikataa kwenda Escape One anadai yeye si shemeji.Zile 500M zimeshaisha nini?
Kuna vitu vingine vinauma sana. Na hata angeyaficha bado angetafutiwa tu sababu ya kumtukana,mashabiki wa wema ni machizi hawajui kumwachia mtu privacy yake. Kumbuka hata dai alitemaga upupu hivyohivyo ig baada ya kuvumilia sana kama utakumbuka ile hashtag ya bringbackourwema,wakitaka ampe mtaji wema ajitegemee sijui nini na nini wasijue kinachoendelea nyuma ya pazia jamaa yakamfika hapaaaaaa akayamwaga hadharaniTatizo anapenda kuyaleta mambo ya chumbani hadharani na ndicho kinachomcost. Ukikosana na Wema, halafu ukaamua kujifanya kuziweka hisia zako au ugomvi wako na wema hadharani inabidi ujipange sana kupokea mashambulizi ya mashabiki wake. Nadhani hilo Idris hakulifikiria.
Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...Tatizo anapenda kuyaleta mambo ya chumbani hadharani na ndicho kinachomcost. Ukikosana na Wema, halafu ukaamua kujifanya kuziweka hisia zako au ugomvi wako na wema hadharani inabidi ujipange sana kupokea mashambulizi ya mashabiki wake. Nadhani hilo Idris hakulifikiria.
Usidanganye,hakwenda kozi wema hajawahi kwenda kumpa sapoti kwenye events zao za fun fellas. Na alitoa maelezo why hakutaka kuitwa shemeji.Juzi alikataa kwenda Escape One anadai yeye si shemeji.
Kuna vitu vingine vinauma sana. Na hata angeyaficha bado angetafutiwa tu sababu ya kumtukana,mashabiki wa wema ni machizi hawajui kumwachia mtu privacy yake. Kumbuka hata dai alitemaga upupu hivyohivyo ig baada ya kuvumilia sana kama utakumbuka ile hashtag ya bringbackourwema,wakitaka ampe mtaji wema ajitegemee sijui nini na nini wasijue kinachoendelea nyuma ya pazia jamaa yakamfika hapaaaaaa akayamwaga hadharani
Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
Ndo nawashangaa hivi Wema yy ni miss Afrika? Idriss ni mshindi wa big brother Africa na sio team wema waliomfanya awe mshindi kwn kipindi yuko bba hakuwa na mahusiano na wema. Team wema wanahitaji kibadilika na watambue nani analeta mambo yake public kama sio wema yy mwenyewe,kina dougie ambao ni marafiki zake wanapata wapi nguvu ya kumtukana idd kama sio yy mwenyewe kuwaambia ya sirini? Yaan watz tufikie kipindi tuache kuingilia mahusiano ya mastaa wetuKwa kweli, hata mimi nimemuelewa sana Idris. Relationship yake na Wema imekua ni yake na the rest of team Wema. Yaani wakikosana na Wema kidogo tuu akina Dougiemasta wanaanza kumtukana instagram. Sasa kaka wa watu amechoka. Hap team Wema wanamuharibia sana Wema, hivi hivi walimsakama Diamond na ile "bring back our wema" haya yameishia wapi? Idris kama ana akili asepe, maana wameshaanza kusema kama sio Wema Idris asingekua na jina Tz.